Nilitaka Kumuua Mwanangu Mara 3, Leo Ananisaidia!-11
Ilipoishia wiki iliyopita
Nikiwa nimelala kama saa nane usiku, ghafla nikahisi joto kali chumbani na kwa uzoefu wangu wa Iringa, kipindi kile ni cha baridi. Haraka nikaamka, nikasikia harufu ya moto, nikavaa suruali haraka nikatoka nje.…
