Harusi ya Kifahari Baadaye Mnaachana, Nini Kinasababisha
Na HASHIM AZIZ|CHAMPIONI IJUMAA| MAKALA
KARIBU kwenye uwanja huu mzuri mpendwa msomaji wangu, ni Ijumaa nyingine tunapokutana, ni wajibu wetu kumshukuru Mungu kwa kutufanya tuione siku hii nzuri ya leo.
Sote ni mashahidi…
