Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi -12
Tulifanikiwa kutoka kwenye shimo la kifo salama japokuwa msichana mmoja alikuwa mgonjwa. Tulitumia siku saba kuchimba tundu la kututoa shimoni.
Niliwaacha wenzangu pale kwenye pango na kwenda kwa mkuu wa nchi ile aliyeamuru tutupwe…
