Nimubona: Kessy hanizidi kiwango, bahati tu
Ramadhan Kessy.
Na Nicodemus Jonas
ANACHOONGAA! Baada ya kuhakikishiwa kucheza mechi zote kuziba pengo la Ramadhan Kessy, beki wa kulia wa Simba, Mrundi, Emery Nimubona, amesema namba hiyo ilikuwa yake tangu zamani, lakini Kessy…
