HUYU HAPA NINJA LUGOLA AKIIZUNGUMZIA NDEGE MPYA – VIDEO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amempongeza Rais Magufuli kwa kuwezesha kuwasili kwa ndege mpya nyingine ya sita ya Airbus A200-300 ambayo imewasili mapema leo katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere majira…
