Hawa: Diamond Mungu Atakulipa
MSANII wa muziki ambaye aliwahi kuwa mwandani wa Mbongo- Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Mayoka ‘Hawa wa Nitarejea’ amemfungukia staa huyo na kusema Mungu atamlipa kwa kile alichomfanyia.
Akizungumza na Ijumaa…
