Kero ya Maji Kishapu Shinyanga
WAKATI nchi yetu Tanzania ikiadhimisha wiki ya maji, imeelezwa kuwa wanawake wengi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekuwa wakitumia muda mwingi kutafuta maji hivyo kushindwa kushiriki katika shughuli za maendeleo kikamilifu.…
