Mwili wa Waziri Kissinger wa Njenje Watolewa Mochwari
MWILI wa mwimbaji nguli wa muziki wa dansi nchini Waziri Ally Kissinger umetolewa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya maziko.
Marehemu Waziri alifariki dunia jana…
