Wanandoa Watupwa Jela kwa Kutesa Mtoto Wao
MWANAUME mmoja na mke wake wa pili wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha madhara mtoto wao wa kuzaa kwa kipigo.
Joseph Ireri Njeru mwenye umri wa miaka 42, na Bi. Bancy Wanja…
