Njia rahisi ya kupunguza unene zingatia haya-3
Leo naendelea kuelezea njia rahisi ya kupunguza unene, fuatana nami katika elimu hiyo.
PENDEKEZO LA 3
Kula mbegumbegu za korosho, karanga (ziwe mbichi badala ya kukaanga na chumvi) katikati ya siku. Haya ni mafuta yenye rutuba mwilini…
