Mwili wa AG wa Kwanza Kenya Wachomwa Moto Saa 3 Baada ya Kifo
Mwanasheria mkuu wa kwanza wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza jana Jumapili, Januari 2,2022 taarifa ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe Charles Mugane Njonjo.
…
