Juma Nkamia Azidi Kukomaa Muda wa Urais Uongezwe Kuwa Miaka 7
Mbunge wa Chemba kwa tiketi ya CCM, Juma Nkamia amefunguka na kusema amemsikia Rais kuhusu kutohitaji kufanya mabadiliko ya Katiba na kubadili ukomo wa Urais na kudai Rais mwenyewe hawezi kusema anataka kuendelea kuongoza bali watu ndiyo…
