Serikali Inalipa Zaidi ya Nusu Gharama za Kuunganishiwa Umeme kwa Wananchi Tanzania
ZIARA ya Kijiji kwa Kijiji imemfikisha Waziri wa Nishati, January Makamba kwenye Kijiji cha Kilando Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa na kuzungumza na Wananchi mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara ambapo walifanikiwa kuwasilisha kero zao,…
