Staa Azimia Mazishi ya Mama Yake
Muigizaji mwenye asili ya Nigeria, Nkechi Blessings amemzika mama yake mzazi Mrs Gloria Obasi Oktoba 16, 2021, huku akiwa bado haamini kuwa mama yake amefariki!
Nkechi ambaye ameonekana kuathirika zaidi na kifo cha mama yake,…
