Breaking: Rais Nkurunziza Afariki Dunia
ALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki Dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9, 2020. Serikali ya Burundi imethibitisha kifo cha kiongozi huyo. Hivi karibuni mkewe, Denise Bucumi alilazwa…
