NMB KULIPA GAWIO LA SH. BILIONI 33
Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha kiasi kilichopendekezwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM), uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Ikiwa ni matokeo ya utendaji bora na uimara wa nafasi ya mitaji, malipo…
