Nora adaiwa kuwa chizi tena!
Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’.
Na Brighton Masalu
NURU Nassoro ‘Nora’ ambaye ni mwigizaji wa kitambo Bongo,anadaiwa kuugua uchizi kwa mara nyingine tena, jambo ambalo amelipinga vikali na kwamba wabaya wake wameendelea…
