Nora Asimulia Alivyochoma Moto Vimini
KWELI mambo hubadilika! Umemsikia mwigizaji wa kitambo kwenye tamthiliya za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’? Nora ameliambia Amani kuwa, aliwahi kuchoma nguo zote ambazo hazikuwa na maadili na za kumpendeza Mungu ikiwemo vimini. Nora…
