The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

norah

NORA AOMBA MSAADA WA MAOMBI

MGANGA hajigangi! Licha ya kwamba kwa sasa ameishika dini vilivyo, msanii wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nuru’ amewaomba watu wamuombee ili aweze kufika peponi.  Akibonga na Ijumaa,Nora alisema anaweza kuwa mstari wa mbele kuwahamasisha…

NORAH: NAMZIMIA KWELI GABO!

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Nuru Nasoro ‘Norah’ amesema kati ya waigizaji wa kiume anaowakubali kutoka Bongo Movies ni muigizaji Gabo Zigamba. Norah alifunguka hilo hivi karibuni alipokuwa akipiga stori mbili tatu na…