Ntibazonkiza ‘Saido’: Sikupenda Kuondoka Yanga Nilikuwa na Malengo ya Kuisaidia Kimataifa
MARA baada ya Yanga kutangaza kuachana rasmi na Said Ntibazonkiza ‘Saido’, mashabiki na wadau wengi wa soka walishitushwa na taarifa hiyo wengine hawakuamini kabisa kilichotokea.
Hii inatokana na jinsi gani Saido…
