Imevuja Shilole na Nuh Hawawezi Kuachana
Wanaubuyu wanakuambia kuwa kuendelea kuwasiliana mambo ya malavidavi na ‘eksi’ wako ni sawa na kutembelea muwa kama fi mbo kwani ipo siku utautafuna! Hicho ndicho kinachodaiwa kuendelea kati ya mastaa wawili Bongo, Zuwena Mohammed…
