MASKINI UCHEBE, YAMKUTA YA NUH MZIWANDA KWA SHILOLE
WASWAHILI wanasema mwenzako akinyolewa, wewe tia maji nywele zako, sina hakika kama Uchebe, ambaye ni mpenzi mpya wa Diva kutoka kiwanda cha Bongo fleva na muvi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ alijipanga kukutana na mbilingembilinge…
