NUH MZIWANDA AANDIKA WARAKA MZITO KWA MTOTO WAKE!
Siku zote Tembo wakipigana zinazoumia nyasi! Hicho ndicho kinachoendelea kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa 'Nuh Mziwanda', na aliyekuwa mkewe Nawal, ambapo baada ya kutengana kwao, Nuh anadai kuwa mtoto wao…
