Kumekucha Zuchu na Rayvanny
ACHANA na rekodi za wimbo wao wa Number One unaendelea kukiamsha mitaani na mtandaoni, lakini habari nzito ni kwamba eti kuna kitu kinaendelea kati ya memba wawili wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa…
