Shinyanga: Madereva Bodaboda 57 Wanyakuliwa
MADEREVA pikipiki maarufu kama bodaboda 57 wamekamatwa na Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Shinyanga baada ya kubainika kukiuka sheria za usalama barabarani ikiwemo kupakia abiria zaidi ya mmoja na wengine kutokuwa na…
