Sangoma Anaswa na Mguu wa Bundi, Mkia wa Nyumbu
Mganga wa kienyeji 'sangoma' katika Kijiji cha Majimoto kilichopo katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Kambona Nkana anayejulikana kwa jina maarufu la Kilosa (48) amefikishwa mahakamani baada ya kukutwa na nyara za Serikali…
