Mbaroni kwa Kukamatwa na Meno ya Tembo
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. Lipande Said Simwiche (62) na 2. Juma Pius (32) wote wakazi wa Kapyo wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa tuhuma za kupatikana na nyara za serikali vipande saba (07) vya…
