Matapeli Wanaoghushi Nyaraka Kutongozea Wanawake Wanaswa
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu Dismond Zacharia (33) ambaye ni mwalimu, Feisal Hussein (27) Mpemba, mtaalamu teknolojia ya mawasiliano, Juma Almas (35) Mfanyabiashara baada ya kuwakamata wakiwa na…
