Nyayo za Binadamu wa ‘Kale Zaidi’ Aliyeishi Miaka 23,000 Zapatkana
MATOKEO ya hivi karibuni ya ugunduzi katika juhudi za kutafuta binadamu walioishi kabla ya historia kuanza kuandikwa ambao waliishi miaka 21,000 hadi 23,000 yamevunja rekodi ya makadirio ya awali ya uwepo wa binadamu wa kwanza katika…
