Mwisho wa Nyodo Tamba, Itaba Wataka Kutwangana Live
MOTO wa pambano la mwisho wa nyodo umepamba baada ya mabondia Hussein Itaba na Ibrahim Tamba kutaka kuzichapa kavukavu kabla ya kuamuliwa kutokana na kurushiana baada ya kukutana kwa mara ya kwanza.
…
