The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

nyoka

Koboko Avamia Sekondari ya Magufuli

WALIMU katika Shule ya Sekondari ya Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Kaliua mkoani Tabora wamelazimika kuikimbia nyumba ya kuishi iliyopo ndani ya eneo la Shule hiyo baada ya kuvamiwa na nyoka aina ya koboko anayedaiwa kuwa na sumu, na…

Nyoka wa Maonyesho Aua Mtu Katavi

JAMES PASCHAL, mkazi wa Mtaa wa Kilimani Kata ya Nsemulwa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, ambaye ni mtaalam wa sanaa ya kucheza na nyoka, amefariki dunia baada ya kung’atwa na nyoka, wakati akiwa porini akijaribu kuwakamata kwa ajili…