Ajiua kwa Kujinyonga Nje ya Kanisa Ibada Ikiendelea
MWANANCHI mmoja wa kaunti ya Homa Bay amejinyonga kwa kitanzi hadi kufa nje ya kanisa wakati ibada ikiendelea.
Joshua Odoyo Nyariera, mwenye umri wa miaka 23, anaripotiwa kujinyonga katika Kanisa la Oneno Nam Raha Msalaba,…
