NYOTA WAZIRI: MFUNDAJI ALIYEDUMU NA NJENJE KWA MIAKA 30
Nyota Waziri ni mmoja wa wanamuziki wa kike wakubwa nchini ambaye alianza kufahamika kupitia Kilimanjaro Band ‘Njenje’ aliyoanza nayo tangu 1989.
Nyota amekuwa mwiba kwenye bendi hiyo kupitia vibao vikali kama vile Gere, Tulizana na…
