Obama Aomboleza Kifo cha Bibi Yake
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema yeye binafsi na familia yake wanaomboleza kifo cha bibi (nyanya) yao, Sarah Ogwel Onyango Obama, ambaye anafahamika na wengi kama “Mama Sarah” lakini anayefahamika katika familia kama…
