The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Obrey Chirwa

Chirwa Sasa Mguu Mmoja Yanga

SASA Yanga washindwe wenyewe kwa Obrey Chirwa, unaweza kusema kuwa ameshaingiza mguu mmoja! baada ya uongozi wa timu ya soka ya Azam FC, kuanza harakati za kumtafuta mbadala wake. Inaelezwa kuwa Azam wanamtafuta mbadala…

Yanga na Chirwa watauana

TANGU mwaka jana Azam na Yanga wamekutana mara tatu kwenye mashindano mbalimbali lakini takwimu zinaibeba Azam. Timu hizo zinapamba kesho Jumatatu kwenye mechi ya Ligi itakayopigwa ndani ya Uwanja wa Uhuru badala ya Taifa…

Chirwa atuma salamu Yanga

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, ameweka wazi mikakati yake kuhusiana na mechi ya Jumatatu ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Azam FC itapambana na Yanga katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa…

Chirwa Mbioni Kutua Azam

STRAIKA wa zamani wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa amezua gumzo la aina yake kwa mashabiki wa Yanga baada ya kuonekana amevalia jezi ya Azam FC na kuamini kwamba atajiunga na timu hiyo kwenye dirisha dogo ingawa Kocha Hans Pluijm…

Yanga Yamuacha Chirwa Dar

KIKOSI cha Yanga, jana kilielekea Kenya kwa ajili ya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup huku kocha msaidizi, Shadrack Nsajigwa, Obrey Chirwa na Kelvin Yondani wakibaki Dar. Mbali na hao, pia Andrew Vincent ‘Dante’,…

Kumbe Hata Ajibu na Chirwa

KWA mujibu wa takwimu za umri wa wachezaji wa Yanga, zilizoko kwenye ofisi za CAF pale Misri ni kwamba kabla hata Ibrahim Ajibu na Obrey Chirwa hawajazaliwa, Yanga haikuwahi kupata rekodi nzuri mwezi huu wa Aprili dhidi ya Simba.…

Chirwa Anaiwahi Simba Fasta

JUMATANO wiki hii straika wa Yanga, Obrey Chirwa alienda kwao Zambia kutokana na matatizo ya kifamilia, sasa uongozi wa klabu hiyo umesema mchezaji huyo anarudi muda wowote kuanzia sasa kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba. …

OKWI AMPONZA CHIRWA YANGA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, ameonekana kumuumiza kichwa straika wa Yanga, Obrey Chirwa ambapo imebainika kuwa ndiye chanzo cha Mzambia huyo kushindwa kuungana na wenzake kwenye safari ya kuelekea Shelisheli kwenye…

Tambwe: Okwi Hamuwezi Chirwa

STRAIKA wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amewachambua Obrey Chirwa wa Yanga na Emmanuel Okwi wa Simba halafu akasema Okwi hamuwezi Chirwa na ndiye atakayekuwa mfungaji bora msimu huu. Okwi ambaye kwa sasa anaongoza kwa…

Chirwa Atua Dar Usiku

MZAMBIA wa Yanga, Obrey Chirwa, amerejea nchini juzi Ijumaa usiku akitokea kwao, huku uongozi ukisisitiza kwamba kuna ishu wanaweka sawa kabla hajajiunga na wenzie Zanzibar. Taarifa za awali zinasema kwamba mchezaji huyo…