Kiungo Mnigeria Oche Ochowechi Amuondoa Lwanga Simba
MAJERAHA ya muda mrefu aliyokumbana nayo kiungo wa Simba, Taddeo Lwanga raia wa Uganda, yamewafanya mabosi wa klabu hiyo kukata jina lake na kumtafuta mbadala wake ambaye ni Oche Ochowechi kutoka Nigeria.
…
