Mido la Nigeria Lakubali Kutua Simba
UNAKUMBUKA ule mchezo kati ya Simba na Plateau wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar? Basi kuna viungo wawili wa Plateau United kutoka Nigeria walikichafua kweli pale katikati ya uwanja ambao ni Issa Ndala na…
