Odemba Adaiwa Kumbemenda Msanii wa Konde Music, Afunguka Mapya
Miriam Odemba; ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania mwenye umri wa miaka 40 ambaye amegonga vichwa vya habari akidaiwa kumbemenda msanii wa Konde Music, Ibrahim Abdallah Nampunga almaarufu Ibraah mwenye umri wa miaka 23.
Hii ni…
