Shoga; umeolewa, ofa ya masela yanini?
Shoga yangu, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu mimi sijambo pamoja na familia yangu akiwemo shemeji yenu ambaye ndiyo kila kitu kwangu.Shoga yangu, leo nazungumza nawe kuhusu ofa, ofa haina tatizo kabisa kwa sababu mtu anayekununulia kinywaji au…
