Official Lyyn: Ntafanya Kolabo na Tanasha – Video
Msanii wa Bongo Fleva na Video Vixen maarufu Bongo, Official Lyyn, leo Jumatatu, januari 20, 2020, amefanya Exclusive interview na +255 Global Radio na kuzungumzia mambo kadha ikiwemo mahusiano yake na Diamond kwa sasa baada ya…
