Tukiishia Kulaumu Kila Kitu, Hatupigi Hatua Hata Siku Moja
KELELE za malalamiko kuhusu soka la Tanzania zimekuwa nyingi na kubwa, lakini ukijiuliza sana unaweza kuona kuna mahali tunalaumu bila ya kujua nani tunayemlaumu.
Lawama tumezaliwa nazo, tena wengi tumekuwa watengeneza…
