JENGO LA KAMPUNI LILILOGEUZWA DANGURO… OFM YATIBUA DILI!
BAADA ya hivi karibuni Kikosi cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers kubaini ufuska mzito unaofanyika ndani ya jengo la kampuni lililopo maeneo ya Sinza Mori jijini Dar, dili limetibuka baada ya wamiliki wa jengo kufuta…
