Ogopa Kopa kuzinduliwa Mei Dar Live
Khadija Kopa
Na Andrew Carlos
BENDI inayokuja kwa kasi, Ogopa Kopa, ikiongozwa na Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Mei 7, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini…
