Okwi Naikumbuka Sana Yanga
Na Said Ally/CHAMPIONI/GPL
MSHAMBULIAJI wa timu ya SC Villa ya Uganda, Emmanuel Okwi ambaye aliwahi kutamba na Simba ya hapa nchini, ametamka kuwa bado anaukumbuka upinzani ambao alikuwa anakutana nao alipokuwa Tanzania kutoka kwa timu…
