Scholz Kansela Mpya wa Ujerumani , Aapishwa
Olaf Scholz ameapishwa kama Kansela mpya wa Ujerumani, na kuhitimisha miaka 16 ya kihistoria ya Angela Merkel kama kiongozi. Alipigiwa kura na bunge la Ujerumani, ambapo muungano wake wa vyama vitatu una wabunge wengi.
…
