Utawala wa miaka 30 wa Al Bashir wa Sudan wang’olewa!
BAADA ya maandamano makubwa ya wiki kadhaa nchini Sudan yaliyokuwa yakimtaka Rais Omar Al Bashir kujiuzulu, habari zisizothibitishwa zinasema rais huyo ameng'olewa madarakani baada ya kuitawala nchi hiyo kwa miaka 30.…
