Rais wa Zamani wa Sudan Ahukumiwa Jela
Aliyekuwa Rais wa zamani wa Sudan, Omary Al Bashir amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, na Mahakama ya Mjini Kartoum kwa makosa ya kujipatia fedha kwa udanganyifu na matumizi mabaya ya fedha za wafadhili wakati akiwa rais.…
