Omary Kigoda ndiye Mbunge Mteule wa Handeni Mjini
Omary Abdallah Kigoda.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Handeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omary Abdallah Kigoda ameibuka mshindi kwa kupata kura 10,315. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Handeni Mjini, Keneth Hauleamemtangaza Omary kuwa…
