WAZIRI MGUMBA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA KWENYE KILIMO
VIJANA Mkoani Morogoro wametakiwa kuchangamkia fursa za kilimo zilizopo katika Mkoa huo ili kujiwezesha na kujiimarisha kiuchumi.
Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba…
