The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Ommy Dimpoz

Dimpoz Hakamatiki Kimataifa!

MSANII wa Bongo Fleva, Omari Nyembo almaarufu kwa jina la ‘Ommy Dimpoz’ anazidi kuchanja mbuga kimataifa baada ya kusaini mkataba mpya wa kibiashara na kampuni ya muziki, Sony Music Entertainment Africa ya jijini Johannesburg, nchini…

Ommy Dimpoz, Nandy kikaangoni

BAADA ya kuachiwa kwa video ya wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ambao ameshirikiana na msanii bora wa kike, Faustina Charles ‘Nandy’ wenye jina la Kata, imezua utata ikionekana kutokufuata maadili hivyo…

Zengwe Bata la Dimpoz Marekani

DAR ES SALAAM: Zengwe limeibuka! Wakati ikiwa hana muda mrefu sana tangu arejee kwenye gemu la muziki baada ya kuumwa kwa muda mrefu, bata la mkali wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, limewashtua wengi na kuibua maswali kibao,…

SIRI YAFICHUKA KILIO CHA DIMPOZI

SIRI imefichuka juu ya kilio kizito cha staa wa Bongo Fleva, Faraja Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ alipojikuta akilia kwa kunung’unika wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.…

BABA DIMPOZ: MWANANGU KALOGWA…

BAADA ya madai kuzagaa kwamba staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amelogwa na siyo suala la kulishwa sumu kama yeye anavyoamini, baba yake mzazi wa mwanamuziki huyo, Faraji Nyembo amefunguka kuwa kama ni kulogwa basi mwanaye…

Baba: Nikifa Dimpoz Asinizike!

Ni kama wanaigiliziana kwani baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kumtelekeza baba yake, Mzee Abdul Jumaa ingawa kwa sasa wako vizuri, msanii mwenzake, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ naye ameingia kwenye…

MASTAA WAPEWA KIBANO NA TRA

IMEFICHUKA! Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka wazi kuwa kwa sasa inakula sahani moja na kuwapa kibano kikali mastaa wote wanaokwepa kodi kupitia kazi zao kiasi cha kulikosesha taifa mapato yake yanayostahili, Ijumaa…